Kupitia kurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Uwoya awachana
wa sanii hao kuwa yule wa nao muunga mkono hakuwahi kuwathamini hata
siku moja.
"Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia yetu
ukweli usio pingika Mh.Kikwete amekuwa karibu Sana na wasaniii na
ametufanya tudhaminike.
Lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake, kiukweli inaumiza sana!
Kunawatu walikuwa wanashinda Ikulu na Mh, anawasaidia sana
katika kazi zao lakini leo wamesahau yote na kumsapot mtu ambaye
hajawahi hata kuwatambua kwanafasi zao, kama sio ushabiki maandaz
niniii? Loooo!!!aibu".Uwoya aliandika.
Post a Comment