PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Sumaye: CCM Kama Kuna Hirizi Zenu Ikulu, Mzitoe Mapema
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye, ametupa ‘Dongo’ kwa mahasimu wao kisiasa CCM, ...

Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye, ametupa ‘Dongo’ kwa mahasimu wao kisiasa CCM, waanze kufungasha ‘virago’ mapema kwa kuwa mwaka huu ni wa UKAWA.


Akizungumza jana na mamia ya wananchi Dar es salaam, Sumaye amedai kwa miaka mingi CCM imekuwa ikiahidi ahadi bila utekelezaji, hivyo amewataka wananchi kumpigia kura nyingi mgombea wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa.


“Niwaambie kabisa waanze kuondoka kuiachia Ikulu mapema, kama kuna hirizi zao waziondoe mapema waiache Ikulu ikiwa safi”

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top