PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Juma Nature NA MAGUFULI NI DAMUDAMU AMUUNGA MKONO KWA ASILIMIA MIA MOJA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wakati siasa ikiendelea kuchuku...
Screen Shot 2015-09-06 at 4.48.26 PM

Wakati siasa ikiendelea kuchukua Headline na baadhi ya mastaa wakionesha hisia zao na mapenzi yao kwa watu ambao ni wagombea kwa vyama mbali mbali, leo Msanii wa bongo fleva Juma Nature ameamua kuweka wazi kuhusu msimamo wake kwa chama anachokiunga mkono  kuwa ni Chama cha Mapinduzi (CCM)
Hii ni baada ya kusikika kwa watu mbali mbali kuwa Juma Nature amekuwa hana msimamo na kutokuonyesha muelekeo wake leo ameamua kufunguka.
Screen Shot 2015-09-06 at 4.48.32 PM

Screen Shot 2015-09-06 at 4.48.38 PM

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top