PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: JUMA HAJI DUNI AMWAGA SERA ZA UKAWA ZENYE MATUMAINI KWA WAKAZI WA KILWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkuta...

 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi. (Na Mpigapicha Wetu)
 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.

Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga  wananchi baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top