PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: DJ MAARUFU WA KIKE NCHINI DJ Fetty atangaza kuacha kazi ya utangazaji…NA KUJIKITA KATIKA BIASHARA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty , moja ya Watangazaji ambao wamepata m...

  


Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment, XXL ya Clouds FM.
IMG-20150915-WA0006
September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo, presenter mwingine pia Kened the Remedy ameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.
IMG-20150915-WA0002
IMG-20150915-WA0007-1
IMG-20150915-WA0008
UGANDAN-YOUNG-MAN-WITH-OLD-WIFE 
Ndani ya Studio ya Clouds FM, hapo yuko Kennedd, Adam Mchomvu, DJ Zero, B Dozen na DJ Fetty

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top