PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA: UZINDUZI WA VOICE OF YOUTH WAFANA JIJINI DARESALAAM LENGO KUWAKOMBOA VIJANA WA TANZANIA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Picha ya pamoja kati ya waasisi wa kikundi hicho cha vice of youth na mgeni rasmi Bwana Alphonce Muta mwenye shati jeupe mara baada ya kuf...
Picha ya pamoja kati ya waasisi wa kikundi hicho cha vice of youth na mgeni rasmi Bwana Alphonce Muta mwenye shati jeupe mara baada ya kufanya uzinduzi uliofanyika katika kijiji beach resort mapema wiki hii

mwenyekikti wa kikundi hicho bwana David George  akiwa na mmoja wa kijana mtarajiwa mwenye sili ya kihindi siku hiyo ya uzinduzi wa kikundi hicho

 mgeni rasmi akitoa nasaha kwa vijana hao wakati wa uzinduzi huo
katibu wa kikundi hicho Vaileth Noel mwenye rasta na wakwanza kulia akiwa pamoja na wanakikundi hicho mara baada ya kupata nasaha toka kwa mgeni rasmi

 wanakikundi wakijadiliana juu ya kutekeleza maazimio waliyoafikiana katika uzinduzi huo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top