PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: YANGA YAITANDIKA KHARTOUM YA SUDAN 1-0
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mc...


Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  mshambuliaji wa timu hiyo, Malimi Busungu. (Picha na Francis Dande)
 Msuva akimiliki mpira.
 Malimi Busungu akichuana na beki wa Khartoum ya Sudan.
 Golikipa wa Khartoum ya Sudan, Mohamed Ibrahimakiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Simon Msuva akichuana na beki wa Khartoum.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Simon Msuva akitafuta mbinu za kumfunga kipa wa Khartoum ya Sudan, Mohamed Ibrahim katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Khartoum ya Sudan.
Amisi Tambwe akimtoka beki wa Khartoum, Hamza Daoud.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top