PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MOTO MKUBWA WAIBUKA KWENYE HOTELI YA KIFAHARI YENYE UFUKWE JUU YA GHOROFA.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Moto mkubwa umeibuka katika Hoteli ya Cosmopolitan Casino iliyoko Nchini Marekani katika jimbo la Las Vegas. Moto huo umetokea kwe...



Moto mkubwa umeibuka katika Hoteli ya Cosmopolitan Casino iliyoko Nchini Marekani katika jimbo la Las Vegas.

Moto huo umetokea kwenye  Beach iliyopo juu ya Hoteli  na kutamba kwenye minazi iliyopo pembeni na Swiming Pool iliyopo juu ya Jengo la Gorofa ya Hoteli.

Chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana na watu wawili waliiathirika na moshi uliotokana na moto na mmoja amepelekwa Hospitali kwa matibabu zaidi.


Taarifa zinasema hakuna mtu aliyefariki kwenye tukio hilo na uchunguzi bado unaendelea.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top