PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HATIMAYE LOWASA AHAMIA RASMI CHADEMA AKABIDHIWA KADI YEYE NA MKE WAKE,ASEMA CCM SIO BABA YAKE WALA MAMA YAKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu na aliyepata kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi, Edward Lowassa atan...


Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu na aliyepata kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi, Edward Lowassa atangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapibnduzi (CCM) na kujiunga na Chama Kikuu cha Upinzani nchini chama cha Chadema hii leo. 




Lowassa ametangaza rasmi hii leo na kueleza namna mchakato mzima wa kumpata mgombea wa CCM ulivyo kuwa wa chuki na mizengwe ya dhidi yake na kusema hanaimani tena chama hicho


Lowassa na mkewe wamekabidhiwa kadi zao za uanachama hii leo mbele ya viongozi wa vyama vya upinzani vya CUF,NLD na NCCR Mageuzi vinavyounda na matangazo hayo yamaoneshwa moja kwa moja na Azam TV pamoja na ITV na televisheni kadhaa nchini

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top