Futari
ya Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous
Khamsin, akiwa na Designer anaye chipukia kwa kasi, Titty Morris
ilifaana vya kutosha kiasi kwamba hadi watu wengine walikosa sehemu ya
kukaa.
Hata
hivyo Designers hao wametoa shukrani nyingi kwa wito mkubwa wa watu
ambao walifanikiwa kufika katika hafla hiyo iliyobeba madhumuni ya
kwenda kuwasaidia wakimama wagonjwa Hospitalini siku ya IDD.
Kama
unavyoona kwenye picha hapo ni ndani ya Terrace Lounge, Msasani City
Mall, ni jana Jumapili 12, July 2015 ilikuwa mida ya saa kumi na mbili
kamili hadi saa mbili usiku kwa kadi ya shilingo 25,000/=.
Post a Comment