PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya kimataifa la Ujerumani(GIZ)inayosaidia kujenga uwezo wa taasisi za Uongozi na Utawala bara la Afr...

Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya kimataifa la Ujerumani(GIZ)inayosaidia kujenga uwezo wa taasisi za Uongozi na Utawala bara la Afrika,Dk Iris Breutz akizungumza wakati wa semina ya siku nne ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika Mashariki namna Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCPHR) inavyofanya kazi zake  jijini Arusha,kushoto ni Jenerali Ulimwengu ambaye ni mwezeshaji na Mkuu wa Mawasiliano wa AfCPHR,Chatbar Sukhdev.

Mkuu wa Mawasiliano wa AfCPHR,Chatbar Sukhdev akitoa nasaha zake kwenye semina hiyo itakayowapa waandishi wa habari uelewa mpana wa Mahakama hiyo yenye makao yake jijini Arusha.

Baadhi ya waandishi wa habari wakijifunza mambo mbalimbali yanayohusu kulinda Haki za Binadamu barani Afrika.

Wawezeshaji wa semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari .

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top