PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: LOWASA KUFUNGUKA RASMI KUHUSIANA NA URAIS JUMAMOSI MAY 16 NDANI YA SHEIKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa jimbo la monduli Mheshimiwa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli anatarajia kutarajiwa kukizima ...

Mbunge wa jimbo la monduli Mheshimiwa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli anatarajia kutarajiwa kukizima kiu cha mda mrefu kilichokuwa kikiwa sumbua wananchi wengi  juu ya yeye kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya Urais katika nchi hii. mbunge huyo anataraja kutangaza rasmi jumamosi ya wiki hii nia yake ndani ya stadim jijini arusha

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top