PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: 10 of 927 HABARI PICHA-MAELFU YA WANACHAMA WA VIKOBA WAKIFUATILIA KWA MAKINI KONGAMANO LA WANACHAMA WA VIKOBA KOA WA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti ...
Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa  bima ya Afya  (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".Picha na Ferdinand Shayo

Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa  bima ya Afya  (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".Picha na Ferdinand Shayo
Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa  bima ya Afya  (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top