PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA. OLE MEDEYE ASIMAMIA UTEKELEZAJI WA BILIONI 47 KWA MAENDELEO YA WILAYA YA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini wakiwa katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wil...


Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini wakiwa katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama vipaumbele vikuu. hicho kilifanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri.Picha na Ferdinand Shayo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha Fidelis Lumato akielezea juu bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama vipaumbele vikuu.pembeni yake ni Mwenyekiti wa Halmashauri Saimon Saning`o. Kikao hicho kilifanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri.Picha na Ferdinand Shayo

Mbunge wa Arumeru Magharibi Goodluck Ole Medeye akifafanua jambo katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shilingi bilioni 42.7 zimetengwa kusaidia upatikanaji wa huduma za maji,afya na elimu kama vipaumbele vikuu.Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha Fidelis Lumato,Mwenyekiti wa Halmashauri Saimon Saning`o na kaimu Mwenyekiti Anna Agatha Msuya.Kikao hicho kilifanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri.Picha na Ferdinand Shayo




About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top