PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: POLISI NA WAMACHINGA WASHINDANA NGUVU KARIAKOO JIJINI DARESALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Moto ukiwaka katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jirani na mataa ya Kamata kufuatia vurugu zilizotokana na Machinga ...

 

Moto ukiwaka katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jirani na mataa ya Kamata kufuatia vurugu zilizotokana na Machinga wa Kariakoo kuzua tafrani baada ya mgambo wa jiji kukamata mali zao.
Mwakilishi wetu alishuhudia magari kadhaa ya Polisi wa kuzuia ghasia (FFU) yakiwasili katika eneo hilo na kufanikiwa kuwatanya Machinga hao na kurejesha hali ya amani katika eneo hilo ambapo kutokana na vurugu hizo njia zilifungwa na magari kushindwa kupita kutokana na mawe yaliyokuwa yamewekwa njiani.
 
Mkazi wa Dar es Salaam akikimbia kuvuka eneo hilo la Kamata.
 Polisi wa kiendelea kuondoa watu katika eneo hilo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top