PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO NA MAMIA YA WATU JIJINI DAR
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini. Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae. ...

 

Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.

Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae.

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akishangilia wakati alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana jambo na Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan pamoja na aliekuwa mshiriki wa shindano hilo,Laveda katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akiongea na waandishi wa habari.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top