PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAUMINI WA SHIHA JIJINI DAR ES SALAAM WAMKUMBUKA IMMAM HUSSEIN BIN ALI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Imamu wa Msikiti wa Kigogo jijini Dar es Salaam, Shikh Hemed Jalala akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam hii leo muda mfu...

Imamu wa Msikiti wa Kigogo jijini Dar es Salaam, Shikh Hemed Jalala akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam hii leo muda mfupi kabla ya kuanza maandamano ya amani ya kuazimisha kifo cha Imam Hussein bin Ali ambaye ni mjukuu wa pili wa Mtume Mohamad (S.A.W)  jijini Dar es Salaam leo.
Sheikh Noor Mohamed kutoka Ghana nae akizungumza na wanahabari juu ya maadhimisho hayo. 

Immam Hussein alikuwa ni kiongozi aliyehimiza utu katika jamii. Sheikh Jalala ameungana na Sheikh Noor Mohamed kutoka Ghana kupinga vikali yale yote yanayofanywa na vikundi vya kigaidi na kusema ndio uislamu si kweli. waio kwa pamoja wanasema Islam ni dini ya upendo na amani na kamwe hakuna semehu inayowaongoza kufanya mauaji kwa binadamu wenzao.
 Waislamu wa Shiha wakiungana na waislamu wengine mbalimbali katika matembezi ya amani kuadhimisha kifo cha Imam Hussein bin Ali ambaye ni mjukuu wa pili wa Mtume Mohamad (S.A.W)  jijini Dar es Salaam leo.
Waislamu wa Shiha wakiungana na waislamu wengine mbalimbali katika matembezi ya amani kuadhimisha kifo cha Imam Hussein bin Ali ambaye ni mjukuu wa pili wa Mtume Mohamad (S.A.W)  jijini Dar es Salaam leo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top