PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WASANII WA FILAMU TANZANIA WAULA BAADA YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA KUZINDULIWA RASMI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elis...


 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi wa Tuzo za filamu Tanzania chini ya Shirikisho la Filamu Tanzania.
 Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
 Lulu akipozi kwa picha katika uzinduzi huo.
   Kelvin akiwa katika zulia jekundu la uzinduzi huo.
 Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiteta jambo na Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba.
Wasanii wakipiga picha ya pamoja.
 Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa tasnia ya filamu nchini.
Wasanii wa Filamu Tanzania wakiwa katika furaha baada ya kuzinduliwa kwa Tuzo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top