PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya...

01
3
. 18 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. kushoto na Mbunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda wakicheza ngoma za asili ya kabila la Kimakonde wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika kata ya Chiuta jimbo la Mtama mkoani Lindi19Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo. 24
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. 21Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe wakati wa mkutano huo. 20 Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe akizungumza na wananchi wa jimbo lake katika kata ya Chiuta leo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top