PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KILELE CHA KONGAMANO LA WIKI MOJA LA VIJANA KUTOKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI LAFANA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Vijana walioshiriki kongamano hilo wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi za jengo la makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki ...
Vijana walioshiriki kongamano hilo wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi za jengo la makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki

Mmoja wa viongozi wa kongamano hilo kutoka Kenya Denis Ngira akifanya mahojiano na mtangazaji wa TRIPLE A fm Willy Cosmas juu ya azimio la vijana walilolikabidhi kwa uongozi wa Bunge la Jumuiya ya  Afrika Mashariki
Willy Cosmas akiomba muongozo kwa mmoja wa viongozi wa bunge hilo hayupo pichani kuhusiana na  jinsi gani bunge hilo linavyoendesha shughuli zake


Kutoka kushoto ni Geofrey Julius afisa masoko wa MS TCDC  na mtangazaji wa MJ fm ya jijini Arusha akiwa na mtangazaji wa Triple A fm Bwana Willy P Cosmas wakipata mlo wa mchna kabla ya kuelekea Makao makuu ya jumuiya ya Afrika ya Mashariki

Baadhi ya Vijana kutoka nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki waliohudhuria kongamano la vijana la YOUTH  GOVERNANCE FESTIVAL wakiwa katika basi la chuo wakielekea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ililyopo jijini Arusha
Mmiliki wa blog ya PRINCEMEDIATZ akiwa ndani ya ukumbi wa bunge la jumuiya ya Afrika mashariki
 Wanahabari walioshiriki Kongamano la vijana wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki kuotka kushoto ni Andrea Ngobole mmiliki wa blog hii, katikati ni NEEMA MWAIPELA mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha na mratibu wa kongamano hilo na kulia ni Willy Cosmas mtangazaji wa Triple A fm

Vijana wakiwa wamewasili ndani ya viunga vya makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki wakijaribu kubadilishana mawili matatu
 


 Vijana walioshiriki kongamano hilo wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi za jengo la makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki
Baadhi ya vijana waliohudhuria kilele cha maadhimisho ya kongamano la vijana kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyofanyika katika chuo cha MS TCDC Usa river jijini ARUSHA Kutoka kushoto ni WILLY P COSMAS mwandishi wa habar na mtangazaji wa Triple A fm, Tingatinga mwanamuziki na mtangazaji wa Arusha One fm, Fadhili Mboya mwanaharakati kutoka wilaya ya Arumeru na Andrea Ngobole mmiliki wa blog ya PRINCEMEDIATZ wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuelekea makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki


Diwani wa kata ya Levolosi EFATHA NANYARO akiwa na baadhi ya vijana wa Afrika mashariki katika kongamano la vijana (YOUTH GOVERNANCE FESTIVAL 2014)  lililofanyika katika chuo cha MS TCDC Usa river Arusha na kushirikisha zaidi vijana 250 kutoka nchi zaTANZANIA,RWANDA, KENYA, UGANDA na BURUNDI.


Mmiliki wa Blog hii ya PRINCEMEDIATZ Andrea Ngobole kushoto akiwa na Mtangazaji maarufu Willy Cosmas wa Triple A fm ya jijini Arusha wakiwa katika majukumu ya kazi ya taaluma yao 



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top