PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI ZA HIVI PUNDE:BASI LAGONGA TRENI NA KUUWA 12 HUKU 45 WAKIJERUHIWA...PICHA 10 ZA AJALI HIYO HIZI HAPA kumradhi kwa picha zenye kuogofya
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Basi la Super Aljabir baada ya ajali. Basi hilo likiwa limepinduka. Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la t...



Basi la Super Aljabir baada ya ajali.
Basi hilo likiwa limepinduka.
Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir ambalo limegongwa na Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro..Majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali hiyo  hiyo......

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top