PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BAADA YA SITTI MTEMVU KUJIUZULU; LILIAN KAMAZIMA NDIO REDD'S MISS TANZANIA ATAKAYEWAKILISHA TANZANIA MISS WORLD .
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  MiSS Tanzania 2014  Lilian Kamazima   akizungumza na waandishi wa habari kuelezea furaha yake baada ya kamati ya Mis...

3
MiSS Tanzania 2014  Lilian Kamazima  akizungumza na waandishi wa habari kuelezea furaha yake baada ya kamati ya Miss Tanzania kumvisha taji hilo kutokana na kujiuzuru kwa Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Tanzania, Kulia ni Hashim Lundega Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania.

2
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza kujiuzuru kwa Sitti Mtemvu  aliyekua Miss Tanzania 2014 baada ya kuzuka Sintofahamu kuhusu Umri wake, Lundenga amesema Sitti Mtemvu aliandika barua ya kujivua taji na kuiwasilisha kwa kamati ya Miss Tanzania Novemba 5 2014 ambapo kamati hiyo imeridhia kujiuzuru kwake na kumvua taji , Hivyo taji hili na majukumu ya Miss Tanzania sasa yatachukuliwa na mshindi wa pili Lilian Kamazima aliyekaa kushoto katika picha   ambaye taratibu za Miss Tanzania zinamruhusu kuchukua jukumu hilo, Hashim Lundenga ametangaza uamuzi huo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es salaam
1




lily3Miss Tanzania aliyechukua nafasi ya SITTI MTEMVU, 
Lilian Kamazima akipita jukwaani siku ya shindano la kumsaka mrembo wa miss Tanzania.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top