PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WANANCHI JIJINI ARUSHA WASALIMISHA SMG MBILI KWA JESHI LA POLISI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lineratus Sabas akionyesha waandishi wa habari mkoani Arusha moja ya silaha ambazo zimesalimishwa na...

 

kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lineratus Sabas akionyesha waandishi wa habari mkoani Arusha moja ya silaha ambazo zimesalimishwa na wananchi






Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa kupata silaha mbili aina ya SMG ambazo zilisalimishwa na wananchi katika mbili tofauti huko wilayani ngorongoro.




Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani Arusha Lineratus Sabas alisema kuwa Silaha hizo zilisalimishwa na wananchi katika siku tofauti tofauti ambapo alisema kuwa silaha ya kwanza ilisalimishwa September 19 silaha aina ya SMG yenye NO.563651071iliopatikana katika eneo la harash ikiwa na risasi mbili ndani ya magazine .

Alibainisha kuwa silaha ingine ilisalimishwa September 26 ikiwa ni aina ya SMG yenye namba ya usajili 514142 hii ilipatika katika eneo ilo ilo la la harash wilayani Ngorongoro




Aliwapongeza wanachi kwa kutii sheria ya kusalimisha silaha hiiuku akitoa wito kwa wananachi wote popote pale walipo kusalimisha silaha ambazo wanahisi wanazitumia kinyume cha sheria.




Aidha alisema kuwa kama kuna mwananchi yeyote anaisi kuwa anamali nyingi na anaitaji kumiliki silaha basi afuate sheria zinazotakiwa .

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top