Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana .
J. Mbwana (Kulia)akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa
Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba wakati wa mkutano mkuu wa
kwanza wa AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni
Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania(TCAA) Dkt. James Diu.
Rais
wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele
Sadamba (Kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa AATO Bi Margreth
Kyarwenda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Cha Usafiri wa Anga (CATC) ,
kinachomilikiwa na TCAA wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa AATO
unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo
ya usafiri wa anga barani Afrika.
Baadhi
ya wataalamu wa sekta ya Usafiri wa Anga Tanzania wakifuatilia kwa
karibu mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga
Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili
mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Baadhi
ya wataalamu wa sekta ya Usafiri wa Anga toka nchi ya Senegal
wakifuatilia kwa karibu mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya
Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa
ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani
Afrika.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana. J. Mbwana
(katikati) akiwasikilza wajumbe wa mkutano wa AATO , baada ya
kufungua mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani
Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Wengine kutoka
kushoto ni mjumbe wa Bodi TCAA, Yussuf . M. Ali, Mkurugenzi Idara
Udhibiti Uchumi , TCAA, Dkt. James Diu , Rais wa AATO Tchagbele Sadamba
na Mjumbe wa Bodi TCAA. Hanif. M. Malik
Mkurugenzi
Idara ya Udhibiti Uchumi(TCAA) Dkt. James Diu , akitoa hotuba kwa
wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vya Usafiri wa Anga
Barani Afrika(AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili
mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Mgeni
rasmi wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga
Barani Afrika, Mbwana J. Mbwana (watano kutoka Kulia) akiwa kwenye
picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa
Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya
kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shabaan Mwinjaka(Kushoto)
akifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano mkuu wa
kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO)
unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha
mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Post a Comment