PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RAIS KIKWETE APOKEA RASIMU KATIBA INAYOPENDE​KEZWA OKTOBA 08,2014 – UWANJA WA JAMHURI DODOMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya kati...


 Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.1mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Alli Mohamed Shein wakionesha Katiba hiyo iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Mabadiliko ya Katiba.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top