PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RAIS KENYATTA APOKEWA KWA SHANGWE NA MAELFU YA WAKAZI WA NAIROBI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Makundi ya watu wanaoshangilia, yamempokea Rais Uhuru Kenyatta ambaye amerej...


Rais Kenyatta alipokelewa Nairobi kwa gwaride la heshima na ngoma.
Picha: Bw Kenyatta akiwa na mmoja wa mawakili wake wa utetezi ICC.
Anakanusha mashtaka dhidi yake ya uhalifu dhidi ya ubinaadam kuhusiana na ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007, zilizosababisha vifo vya watu 1,200 na wengine 600,000 kupoteza makazi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top