PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-NAIBU MEYA WA ARUSHA ACHAGULIWA LEO ,NI PROSPER MSOFE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kushoto ni Mbunge wa Mbozi David silinde ,Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless wakiwa n...
Kushoto ni Mbunge wa Mbozi David silinde ,Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless wakiwa nje ya ukumbi mara baada ya kumalizika kwa shughuli ya Uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika ambapo Diwani wa CHADEMA Prosper Msofe aliibuka na ushindi.Picha na Ferdinand Shayo

Naibu Meya wa Arusha Prosper Msofe ambaye ni Diwani wa kata ya Daraja mbili kwea tiketi ya CHADEMA akizungumza baada ya kuibuka mshindi  katika uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha,Meya wa jiji la Arusha Gaudience Lyimo (katikati) ,kushoto ni Mkurugenzi wa jiji la Arusha Juma Iddi .Picha na Ferdinand Shayo


Naibu Meya wa Arusha Prosper Msofe ambaye ni Diwani wa kata ya Daraja mbili kwea tiketi ya CHADEMA akizungumza baada ya kuibuka mshindi  katika uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha .Picha na Ferdinand Shayo

 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top