PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: PROF IBRAHIM LIPUMBA APOKEWA KAMA MFALME NA MAELFU YA WAKAZI WA TUNDURU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wa...






Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara kwa ziara ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha wananchi kujitokeza katika daftari la wapiga kura na vitambulisho vya taifa



Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea prof Ibrahim Lipumba



Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba. 




Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba



wenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma



Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba



Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo akiwahutubia wakazi wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,kutokufanya makosa wakati wauchaguzi wa serikali za mitaa uliotangazwa kufanyika Disemba 14 mwaka huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF



Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi waTunduru waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja baraza la Iddi Tunduru mjini.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top