PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: NEC WAJIPANGA KATIKA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Makamu Mwenyekiti wa   Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia   na Jaji Mkuu Mstaaf...


 Makamu Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia  na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid   Mahamoud Hamid(kushoto) akisoma taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba.
Baadhi  ya Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na waandishi  wa habari kuhusu  taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba.
Baadhi ya Watendaji wa Tume ya Taifa  ya Uchaguzi(NEC) wakifuatilia mkutano huo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top