PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Soko la Kisutu latia aibu kwa uchafu
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mandhari ya Soko la Kisutu, jijini Dar es Salaam linalotumiwa pia na raia kutoka nje ya nchi wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, ...




Mandhari ya Soko la Kisutu, jijini Dar es Salaam linalotumiwa pia na raia kutoka nje ya nchi wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, lipo katika hali mbaya huku hali ya uchafu ikiiharibu sura ya soko ambalo linaaminika kuwa na bidhaa zenye kiwango na thamani tofauti na masoko mengine.



Mabomba ya kupitishia maji machafu yamepasuka na kupelekea maji yaliyochanganyika na vinyesi yakiwa kutapakaa katikati ya soko hilo huku ikidaiwa kuwa hii ni hali ya muda mrefu kutoka hali hiyo itokee na mamlaka hazijachukua hatua!

CREDIT: FIKRA PEVU

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top