PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: NILIANZA MAZUNGUMZO NA MANCHESTER UNITED MIEZI 4 ILIYOPITA: FALCAO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Radamel Falcao (wapili kushoto) akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Colombia huko Miami.  Mshambuliaji Nyota aliyesajili na ...


Radamel Falcao (wapili kushoto) akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Colombia huko Miami. 

Mshambuliaji Nyota aliyesajili na Manchester United, Radamel Falcao amebainisha yakuwa alikuwa katika mazungumzo na mashetani hao wekundu takriban miezi minne iliyopita.
Nyota huyo kutoka Colombia amesema alikuwa tu akificha ukweli kwa mabosi zake wa zamani wa Real Madrid kabla ya kuhamia kwakwe Old Trafor.
Falcao alibainisha hayo wakati akihojiwa juu ya maandalizi dhidi mchezo wa kirafiki baina ya timu yake ya Colombia na Brazili utakao pigwa kesho amesema" Ninajisikia furaha sana kuichezea Manchesta United"

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top