PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA JIMBO LAKE KUJIONEA KERO NA MIRADI YA MAENDELEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Licha ya majukumu mbalimbali yanayowakabili viongozi wetu wakuu wa nchi lakini kuwatembelea wapiga kura wao na kujua yanayowakab...


 
Licha ya majukumu mbalimbali yanayowakabili viongozi wetu wakuu wa nchi lakini kuwatembelea wapiga kura wao na kujua yanayowakabili ni jambo muhimu sana ambalo mbali na kuwapa faraja wananchi hao wa eneo husika lakini inaleta matumiani kuwa kiongozi wao yupo na anawajibika.
Mara kwa mara baadhi ya wabunge hudhani kuwa bila ya kuwa na kitu huwezi enda Jimboni labda hadi uwe na mifuko ya saruji, bati au jezi na mipira ya kuwagawia wapiga kura wake.
Jana  Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Mchemba alitembelea Jimboni kwake ili kufuatilia Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na Kusikiliza Maoni,Matatizo na Maombi ya Wananchi.
kundi la burudani likitumbuiza.
Mbunge akipokea zawadi mbalimbali na kuzipa baraka.
Michango ya kijamii ilifanyika kwaajili ya maendeleo.
Mwigulu akiwaaga wapiga kura wake.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top