Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akizungumza na
Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Bi. Sri Mulyani Indrawati watatu
kutoka kushoto pamoja na ujumbe alioambatana nao kuhusu miradi
mbalimbali inayotekelezwa kupitia Wadau hao wa Maendeleo.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akitoa zawadi
kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati
kushoto kwake mara baada ya kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali
ya Barabara.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akimshukuru
Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati mara baada
ya kufanya mazungumzo na Waziri Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi akizungumza katika mkutano wa Uwasilishaji wa
Mada ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za kupunguza msongamano (BRT) jijini
Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliyesimama akizungumza
kwenye Mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri
Mulyani Indrawati.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakwanza kushoto
akiangalia mandhari ya Barabara za Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka
(BRT).
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakwanza kulia akiwa na
Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati wapili
kulia, Mheshimiwa Hawa Ghasia, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
TAMISEMI pamoja na wajumbe mbalimbali kutoka Benki ya Dunia wakifatilia
kwa makini utolewaji wa taarifa za Mradi wa Ujenzi wa Barabara za mabasi
yaendayo haraka(BRT).
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Dkt.
John Magufuli, Waziri wa Ujenzi akizungumza na Wananchi kuhusu mradi wa
Ujenzi wa Barabara za mwendokasi Ubungo Dar es Salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale
wakwanza kushoto akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Barabara za
Mwendokasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Post a Comment