Basi
la kampuni ya Super Feo likiwa limegongwa kwa nyuma na basi la Upendo.
Mabasi yote yanafanya safari kutoka Dodoma kwenda Iringa (upendo) na
Super Feo (Songea) . Ajali
mbaya imetokea asubuhi hii ikihusisha mabasi mawili ya kampuni ya SUPER
FEO likitokea Dodoma kuelekea Songea na basi la UPENDO TRAVELLERS
kutokea Dodoma kuelekea jijini Mbeya.
Ajali
mbaya imetokea asubuhi hii ikihusisha mabasi mawili ya kampuni ya SUPER
FEO likitokea Dodoma kuelekea Songea na basi la UPENDO TRAVELLERS
kutokea Dodoma kuelekea jijini Mbeya
Taarifa
za kutoka eneo la tukio zinasema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni punda
aliyekatisha barabarani na mwendo kasi wa basi la upendo bila umakini
wa dereva wa basi hilo. Walisema
abiria waliokuwa katika basi la upendo kuwa walikuwa wakilifuata basi
la Super feo kwa kasi bila kuacha safety distance (nafasi ya usalama
kati ya basi moja na lingine nyuma au mbele ) hali iliyopelekea ajali
hiyo kutokea pale dereva wa basi la Super feo aliposimama ghafla kuepuka
kugonga punda aliyekuwa akikatisha barabarani.
Taarifa zinaendelea kudai kuwa dereva wa basi la upendo amevunjika miguu na wengine wamejeruhiwa vibaya!
Taarifa na picha zaidi zitawajia hivi punde..!
.
Taarifa za kutoka eneo la tukio zinasema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni punde aliyekatisha barabarani na mwendo kasi wa basi la upendo bila umakini wa dereva wa basi hilo.
Walisema abiria waliokuwa katika basi la upendo kuwa walikuwa wakilifuata basi la Super feo kwa kasi bila kuacha safety distance (nafasi ya usalama kati ya basi moja na lingine nyuma au mbele ) hali iliyopelekea ajali hiyo kutokea pale dereva wa basi la Super feo aliposimama ghafla kuepuka kugonga punda aliyekuwa akikatisha barabarani.
Taarifa zinaendelea kudai kuwa dereva wa basi la upendo amevunjika miguu na wengine wamejeruhiwa vibaya!
KWA TAARIFA ZAIDI KUHUSU AJALI HII TUTAENDELEA KUWAJUZA!
Post a Comment