PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BREAKING NEWS!!! AJALI NYINGINE YATOKEA GAIRO MOROGORO NA KUHUSISHA BASI LA AIRBUS na kugharimu maisha ya watu zaidi ya kumi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Habari za hivi punde kutoka Mkoani Morogoro zinapasha kuwa basi la Kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Ta...


 
Habari za hivi punde kutoka Mkoani Morogoro zinapasha kuwa basi la Kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali muda si mrefu eneo la Kiegeya Wilayani Gairo Mkoani Morogoro.
Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Faustine Shilogile ameiambia PRINCEMEDIA TZ  kuwa ni kweli kuna ajali nae yupo eneo la tukio.
"Ninaomba unitafute baade kidogo kwa taarifa kamili kwa sasa nipo eneo la ajali huku Gairo," alisema SACP Shilogile.
  Tutakujuza zaidi kuhusiana na tukio hilo ambalo linaelezwa kugharimu uhai wa watu zaidi 10

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top