PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Wapigwa msasa...
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Muwasilishaji Toka Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Feruzi Mtika akiongea na waajiriwa wapya wa Wizara ya ...


    Muwasilishaji Toka Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Feruzi Mtika akiongea na waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu aina ya Mafao wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati wa Semina iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

    Muwasilishaji toka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bi. Evelyne Kusenga akiwaeleza waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  kuhusu Mafao na faida wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati wa Semina iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
     
    Meneja Masoko Toka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. Martin Modigadi akiwaleza jambo watumishi wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa semina elekezi kuhusu mifuko ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Toka Mfuko huo Bi Abela Luo.(Martha Magessa)
    Afisa Toka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Hawa Kikeke akiongea na Waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu Faida watazopata iwapo watajiunga na mfuko huo, leo Jijini Dar es Salaam.
    Kaimu Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Arnold Kagaruki akiongea na watumishi wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa semina elekezi kuhusu mifuko ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam.
    Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akiwaeleza jambo waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  wakati wa semina elekezi kuhusu mifuko ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam.

    Watumishi wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliohudhuria Semina hiyo wakiwasikiliza wawasilishaji toka mifuko mbalimbali ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam.
     (Picha na Hassan Silayo-WHVUM)

    About Author

    Advertisement

    Post a Comment

     
    Top