PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: UPENDO NKONE AKITOA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA DAR KATIKA USIKU WA MATUMAINI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwimbaji wa Injili, Upendo Nkone akiwapa matumaini wananchi waliohudhuria Usiku wa Matumaini muda huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijin...


Mwimbaji wa Injili, Upendo Nkone akiwapa matumaini wananchi waliohudhuria Usiku wa Matumaini muda huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Upendo Nkone akiwapa burudani wapenzi wa Gospel ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
 
Umati wa watu ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
 
Nkone akizidi kufanya yake pamoja na vijana wake.
 
Baadhi ya wanahabari na wadau wakifuatilia tamasha hilo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top