Mbunge
wa Bunge la Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Wabunge kutoka Tanzania,
Adam Kimbisa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika ofisi za
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo, juu ya
mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaofanyika ukumbi wa Karimjee.
Kushoto ni Spika
wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo
Zziwa,wabunge wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Taslima na Shy Rose Banji
KIKAO CHA CHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUANZA LEO KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR!!

Post a Comment