PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA: WACHEZAJI WA ZAMANI WA REAL MADRID WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwa...

 Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima Kilimanjaro.
Wachezaji wakongwe wa Klabu ya Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TANAPA mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
 Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenela Mukangara akitoa cheti cha ushiriki kwa mchezaji Ruben De La Red wa Klabu ya Real Madrid mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima Kilimanjaro. 
Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete akikabidhi moja ya fulana za TANAPA kwa mchezaji.
Tafrija ya kuwaaga kabla ya kupanda mlima ikiendelea.
wakali hao wa zamani wa Real Madrid wakiwa katikati ya msitu wa Mlima Kilimanjaro.
 Eneo la Maporomoko ya Maji ambapo wachezaji wakali hao wa zamani wa Real Madrid walifanikiwa kufika Mlimani Kilimanjaro. 
 Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete (mwenye fulana nyeupe na miwani) akiongoza msafara wa wakali hao wa zamani wa Real Madrid kukwea Mlima Kilimanjaro.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top