PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: ANGELO DI MARIA ATUA RASMI MAN U ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Timu ya Manchester United sasa imekamilisha utaratibu wa uhamisho wa na usajili wa mchezaji, Angel Di Maria, anaye...




Timu ya Manchester United sasa imekamilisha utaratibu wa uhamisho wa na usajili wa mchezaji, Angel Di Maria, anayejiunga na timu hiyo akitokea timu ya Real Madrid, kwa dau la paun £59.7m, kwa mkataba wa miaka mitano.

Manchester United wamemsajili winga wa Real Madrid Angel Di Maria kwa kitita cha pauni milioni
59.7, ikiws ni rekodi ya uhamisho Uingereza kwa winga huyo kutoka Argentina, ambaye tayari 
amefanya vipimo vya afya jana siku ya Jumanne.

Aidha imeelezwa kuwa huenda Di Maria akacheza mechi yake ya kwanza siku ya Jumamosi dhidi ya Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.

Ada hiyo ya uhamisho inazidi ada ya pauni milioni 50 iliyotolewa na Chelsea kumsajili Fernando Torres kutoka Liverpool mwaka 2011.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top