PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MUZIKI SASA UNALIPA SANA SHUHUDIA HAPA MJENGO WA HATARI WA PROFESA JAY!!!!!!!!!1
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.  hongera sana kwa hatua uliyofikia..  Inapendeza eeeh!    Nyu...
 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
 hongera sana kwa hatua uliyofikia..
 Inapendeza eeeh!
  Nyumba iko MBEZI ya KIMARA jijini DAR ES SALAAM .
Profesa JAY alihamia rasmi kwenye hii nyumba  mwaka huu na anasema kitu pekee kikubwa kinachokosekana kwenye nyumba yake  ni MKE....Asilimia mia moja ya hii nyumba imejengwa kwa pesa zilizotokana na shughuli zake za muziki wake ambaye pia anaonekana kuwa kama la lango la wasanii wengi wa kizazi kipya mara baada ya kuleta mapnduzi makubwa katika tasnia ya muziki huo nchini

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top