Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo
Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu
jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa
katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa
kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na imani hizo za
kishirikina
MMOJA wawananchi akiwa ameshika shoka akiendelea kumchoronga chatu huyo
Mabaki ya mwili wa chatu huyo baada ya kucharanwa
aiiiiii hii noma sanaa kweli usione mtu ni tajiri au anafanya biashara anafanikiwa kweli nyuma yake kuna siri kubwaa'KULIKO TAJIRI KUINGIA MBINGU NI BORA NGAMIA APITE KWENYE TUNDU LA SINDANO
ReplyDelete