PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SAKATA LA MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOX MIAKA 4 LAZUA SURA MPYA, NYUMBANI KWA MTUHUMIWA LAKUTWA SHIMO KUBWA LA MAJI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Nasra akiwa na mama anayemlea kwa sasa Josephin Joel kutoka kambi ya ya wazee ya Fungafunga iliopo mjini hapa, akiwa kat...



 Nasra akiwa na mama anayemlea kwa sasa Josephin Joel kutoka kambi ya ya wazee ya Fungafunga iliopo mjini hapa, akiwa katika chumba cha ICU  hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro anakopatiwa matibabu baada ya kufichwa katika box kwa miaka 4 na mama yake mkubwa Mariam Said baada ya mama yake mzazi kufariki mwaka 2010.

 Hali ya Narsa kwa sasa imezidi kutengemaa ,kunawili na kuonekana kama mtoto mwenye nuru kama anavyoonekana tofauti na alivyookolewa kutoka katika box siku tano zilizopita hapo mama  huyo mlezi akimpatia chakula iana ya wali na samaki anaopendelea Nasra. 

 Hapo Nasra akiwa ameshika kikombe kwa mikono yake mwenyewe ilioonekana awali kutokuwa na nguvu baada ya kuomba maji ya kunywa..






















About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top