NA: AJTC TV CREW
![]() |
moja ya digital background ya ajtctv |
![]() |
ajtc tv control room |
Kumekuwa na vipindi ambavyo wanachuo wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji,wamekuwa wakiviandaa kwa ajili ya ajtc tv.Wanachuo wameweza kuandaa vipindi na matangazo kwa ubunifu ambayo umeleta mabadiliko katika tasinia ya utangazaji wa tv.
![]() |
Hii ni kiashirio cha ajtc tv taarifa ya habari kilicho andaliwa kwa ubunifu na unadhifu mkubwa. |
![]() |
Mtangazaji wa AJTC tv ambae pia ni mwanachuo wa AJTC Johaness Johnson akitangaza kipindi cha burudani. |
![]() | |
Producer na Mkurugenzi wa Noizmekah production iliopo jijini Arusha DX ,akihojiwa na ajtc tv katika kipindi cha burudani. |
![]() | |||
Daktari akihojiwa na ajtc tv katika kipindi cha Tanzania yetu.Dokta Godfrey Mmary |
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.