PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAUMINI WA MSIKITI WA MASJIDI QUBA JIJINI ARUSHA WAZUILIWA KUSWALI LEO!!!!!!!!!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Hao ni baadhi ya waumini wa kiislam wakiwa wamezuiliwa kuingia katika ibada ya ijumaa ya leo BAKWATA mkoani Arusha wamezuia waumini wa...

Hao ni baadhi ya waumini wa kiislam wakiwa wamezuiliwa kuingia katika ibada ya ijumaa ya leo
BAKWATA mkoani Arusha wamezuia waumini wa kiislamu wa msikiti wa masjid kuba jijini arusha kuingia msikitini mapema leo baada ya waumini hao kumkataa imamu wa Aliyeletwa na bakwata aliyefahamika kwa jina la HASSAN Waziri 

 

awali msikiti huo ulikuwa ukiongozwa na imamu Jaffari Lema ambaye anakubalika na waumini wa msikiti huo lakini katika hali ya kushangaza BAKWATA walimkataa na kumnyang'anya hadhi ya kuongoza ibada msikitini hapo na kumpa nafasi hiyo HASSANI WAZIRI ambaye waumini wamemkataa na kuzua malumbano makali yaliyopelekea msikiti huo kuzuiliwa kuendesha ibada na kuwekwa chini ya ulinzi mkali wa polisi

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top