| Baadhi ya wakulima wa viazi wakiwa wamejaza LUMBESA zao hakika mkulima anaibiwa anajiona je wahusika wa vipimo mpo? |
| Usipojaza RUMBESA sinunui kwako hapo sasa mweee mkulima apeleke kilio chake wapi? wahusika mpo tu maofisini |
| Hii ndiyo hali halisi ya RUMBESA |
| Rungwe nako hivyo hivyo |
| Mkulima akisubiri kuuza ndizi zake wa walanguzi |

Post a Comment