PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: UJENZI WA DARAJA MJINI MUGUMU WILAYANI SERENGETI WALALAMIKIWA NA WANANCHI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Madaraja yanayojengwa mjini Mugumu wilayani Serengeti yanalalamikiwa kuwa yako chini ya Kiwango kutokana na kutokuwa ...




Madaraja yanayojengwa mjini Mugumu wilayani Serengeti yanalalamikiwa kuwa yako chini ya Kiwango kutokana na kutokuwa na usimamizi mzuri wa wataalam ,huku kukiwa na kutupiana lawama kati ya wataalam wa Mamlaka ya mji mdogo wa Mugumu kutoshirikishwa na watalaam wa Halmashauri ya wilaya,licha ya kuwa kazi zinatekelezwa na Mamlaka ya Mji Mdogo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top