PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: PATA MATUKIO YA UTOAJI NA UPOKEAJI WA TUZO ZA ULUGURU KWA WANAHABARI NA TAASISI MBALIMBALI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwandishi Mpigapicha wa gazeti la Mwananchi, Juma Mtanda kushoto Mwenyekiti wa Morogoro Press Club na Mwandishi Mtangazaji wa Nipashe n...
Mwandishi Mpigapicha wa gazeti la Mwananchi, Juma Mtanda kushoto Mwenyekiti wa Morogoro Press Club na Mwandishi Mtangazaji wa Nipashe na Redio One, Idda Mushi (katikati) na John Nditi wa Habarileo kulia wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutwaa tuzo bora za uandishi bora za Uluguru award 2013-2014 zilizoandaliwa na kituo cha Maendeleo na Utamaduni katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mambo Club April 12 mwaka huu

Idda Mushi akionyesha tuzo yake, kushoto ni mgeni rasmi Joel Bendera ambaye ni mkuu wa mkoa wa Morogoro.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kushoto akimkabidhi tuzo mwandishi mpigapicha wa kampuni ya Mwananchi Communition Ltd Morogoro, Juma Mtanda baada ya kushinda tuzo ya Uluguru Award 2013-2014, lengo likiwa ni kuchochea uajibikaji kwa kufuata misingi ya utawala bora katika nyanja mbalimbali iliyoandaliwa na Kituo cha Maendeleo ya Utamaduni (Kimau) kutokana na mchango katika kuripoti baadhi ya habari za migogoro ya wakulima na wafugaji, mafuriko yaliyowakumba wananchi wa la kijiji cha Magole yaliyotokea hivi karibuni katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mambo Club Morogoro.


John Nditi akionyesha tuzo yake baada ya kukabidhiwa na mkuu wa mkoa wa Morogoro kushoto.
Huyu ni Cosma Cheka naye alitwaa tuzo kwa upande wa bondia aliyetwaa mataji mawili ya mchezo huo.
Mkurugenzi wa matawi ya benki ya CRDB, Nelie  Ndosa akitwaa tuzo
Mwandishi wa habari gazeti la Mwananchi Lilian Lucas Kasenene kulia akina na Juma Mtanda baada ya kutunuziwa tuzo hiyo.
Safu ya viongozi wa CRDB, ikiongozwa na Mkurugenzi wa matawi ya benki ya CRDB, Nelie  Ndosa na mkurugenzi wa CRDB, Pendo Asay kushoto baada ya kutwaa tuzo ya taasisi bora ya kifedha ya mwaka 2014.
Mkurugenzi wa kituo cha Maendeleo na Utamaduni, Anthony Mhando kulia akimkabidhi tuzo mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kufuatia tuzo ya kiongozi bora.
Mkurugenzi wa kituo cha Maendeleo na Utamaduni, Anthony Mhando 
Sehemu ya waalikwa wa hafla ya tuzo hizo

Mkurugenzi wa kituo cha Maendeleo na Utamaduni, Anthony Mhandokulia akifafanua jambo kwa Bendera kushoto na Mourice Massala (katikati) muda mfupi kabla ya kuanza hafla hiyo.




Mwandishi wa Jamboleo Peter Kimath (katikati) akiwa na mtangazaji wa kituo cha redio cha Planet FM Morogoro, Walda Makongwa kushoto na ndugu yao kulia wakati wa tuzo hizo.











About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top