PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: VIFO VYA AJALI YA BASI LA LUHUYE VYAONGEZEKA NA KUFIKIA 15..pitia hapa kujua zaidi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
IDADI ya vifo vilivyotokea kufuatia ajali mbaya ya basi la LuhuyeExpress linalofanya safari zake kati ya mji wa Tarime mkoan...


Wengine ni pamoja na Esther Morice(18) mkazi wa Tarime mkoaniMara,Rose Willison(21) mkazi wa Igoma Jijini Mwanza,Shepa Msongoma(58)mkazi wa Nassa wilayani Busega na Mtoto Baarka Alex(1) ambaye makaziyake hayajajulikana.

Pia Kamanda Mkumbo amewaomba watu mbalimbali kufika katika hospitaliya Rufaa ya Bugando  Jijini Mwanza  ili kuweza kutambua miili ya nduguzao kwani hadi sasa maiti sita bado hazijatambuliwa.

Majeruhi 33 bado wanaendelea na matibabu katika hospitali ya BugandoJijini Mwanza na majeruhi 11 bado wanaendelea na matibabu katikahospitali ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza.

Katika hatua nyingine jeshi la polisi mkoani humu linamshikiliammiliki wa basi hilo,Masalu Jackson mkazi wa Majengo mjini Bundamkoani Mara ambaye alikamatwa wilayani Busega mkoani humu kufuatiaushirikiano wa jeshi la polisi na wananchi huku wakiendelea kumtafutaaliyekuwa dereva wa Basi hilo ambaye jina lake halijapatikanaalitoroka mara baada ya ajali kutokea.

Basi la Luhuye Express lenye namba za usajiri T 410 AWQ liliacha njiana kugonga nyumba ya marehemu Mwalimu,Lazaro Mbofu na kuibomoa yote nakisha kupinduka na watu 10 kufa papo hapo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top