PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mtoto wa darasa la pili afa maji mkoani Iringa,mwingine abakwa!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mtoto mmoja amefariki Dunia mkoani iringa baada ya kuzama katika Mto mlowa wakati akicheza na wenzake mkoani iringa. Akithib...




 

Mtoto mmoja amefariki Dunia mkoani iringa baada ya kuzama katika Mto mlowa wakati akicheza na wenzake mkoani iringa.

Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo kaimu kamanda wa polisi mkoani iringa  WANKYO NYIGESA WANKYO amesema  BAHATI  KINGILILWE (8) mwanafunzi wa darasa la kwanza malizanga amekufa maji kwenye mto mlowa baada ya kuzama wakati akicheza na wenzake.

Katika tukio lingine mwanafunzi mwenye umri miaka 10 mkazi wa frelimo kata ya mwangata amebakwa na mtu aliyemfahamu kwa sura na kumsababishia  maumivu makali chanzo kikiwa ni tamaa za mwili na mtuhumiwa anatafutwa na jeshi la polisi.

Na: GODFREY NGUMA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top